Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

0 Reactions
0 Replies
1K Views
You Made my day. Nimecheka sana leo wakati wakionyesha jamaa alivyoenda kwa mganga akitaka kuongezewa kipato halafu mganga anampa ma banzi kila akipigwa anasema niongezee kipato mganga kila...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni watu wa aina gani hawa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasanii hupenda kushirikishana ktk nymbo zao na kufanya kitu kizuri kwa fans wao zipo kolabo nzuri zilizofanyika kwenye industry kwangu mm the best ni ya solothang alowashirikisha afande sele na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
mi ikipigwa antenna au nyimbo fulani kashirikishwa tundaman inase usikurupuke kwanza jiulize, tuko wangapi?. wewe je?
0 Reactions
39 Replies
16K Views
Habari zenyu bhana? Nitapenda kujadili maana ya "NO WOMAN NO CRY" ambayo ni title iliyobeba maudhui katika wimbo huu wa Bom Marley. Wengine hutoa maana ya kua (nanukuu) "Hakuna/pasipo na...
1 Reactions
2 Replies
942 Views
Kuna baadhi ya wasanii ambao walikuwa wanafanya vizuri sana katika tasnia ya maigizo na muziki pia,hivi tujiulize kama hadi leo hii wangekuwa hai wangeweza kuendana na hali ilivyo sasa katika soko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kuna mzigo huu (Azsky G1 upgrading version dstv dongle Azsky G1+) nimebaki na mmoja tu, maelezo mafupi ni kwamba Newest azsky G1+ dstv dongle in stock 1) sim card gprs dongle 2) open...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
youtube.com/watch?v=Mxst-MoIwcA
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Waonee huruma wenzio. Travailler c'est trop dur Et voler c'est pas beau D'mander la charité C'est quelque chose que je ne veux plus faire Chaque jour que moi je vis On ne demande de quoi je vis...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naangalia hapa EATV...filamu ya kibongo ya kitambo ya JOHARI....Maaan I'm watching The Late Kanumba,Ray,Johari na Mainda with their humble beggining.......Ni drama za kuvunjika mbavu.....
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Diana & Marvin - You're my everything - YouTube
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Leo nimeangalia TPF saa 2 mpaka saa 3 EATV kilipomalizika nikahamia TBC1 kutazama EBSS hakika nilichogundua ni kuwa TPF iko juu kuanzia contestants, bend, faculty mpaka judges kuliko EBSS ambako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini Wadau! Natafuta sana ngoma za hao jamaa za hiyo album. Msaada jamani! sehemu nyingi hii album hawana sijui kwa nini!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Aje wadau wa jukwaa. Kuna nyimbo fulani zina mahadhi ya Kiafrika nilikuwa nazisikia kwenye filamu za zamani za Naijeria (Aki na Ukwa, Hour of Grace n.k.). Kwa anayefahamu zile nyimbo (tanzu)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia hii patashika ilishawahi kwenda hadi Bungeni hapa Bongo. Malaika, Nakupenda Malaika... Ningekuoa Malaika... Here's the whole song "Malaika" with translation Authorship of...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
'Twas the night before Christmas And all through the house Not a creature was stirring Not even a mouse In my mind, I want you to be free For all of our friends, to listen to me Now hear...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Salaam wakuu, nafungua thread hii ni maalum kwaajili ya kupromote wasanii wachanga wanaochipukia katika mziki wetu wa kizazi kipya. Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kwa wasanii wadogo ambao ndio...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Huyu dogo namkubali kwa kweli, licha ya udogo wa umri ila kimziki yuko vizuri sana na style ya uimbaji wake wa mahadhi ya zouk imetulia sana. Sijui ni kukosa promo, management au nini...
1 Reactions
7 Replies
12K Views
Wakuu katika kupitia mtandao nimektana na radio hii inaniwekea miziki mizuri sana inanikumbusha enzi zetu. kwa wale vijana wa zamani kama mimi link hii hapa: Radio Asante! - Jackson 5 - I Want...
1 Reactions
0 Replies
728 Views
Back
Top Bottom