Jinsi ya ku calculate ushuru wa gari unapo agiza

chazymseri

Senior Member
Oct 28, 2010
139
28
Tupo wengi ambao tunaagiza magari lakini tunakuwa na mashaka juu ya ushuru wa customs unakuwa ni wa asilimia ngapi au bei gani kulingana na gari uliyo agiza hapa kuna mwangaza jinsi ya kupiga mahesabu hayo nakujua ushuru utakuwa kiasi gani

jinsi ya kucalculate ushuru wa gari
 
Back
Top Bottom