Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Daaaaahh kuna msanii mmoja namuheshimu na nimmoja wa fans wake ila Jana ameonyesha dhahili yy c muungwana baada kupost Kent social network moja maneno yasiyotegemewa hasa kwa mashibik wa kazi yake nikaona. Sio hizo ni human error ikabidi nimsahihishe kuwa Anglia lugha unazotumia Anglia...unamafans wa kila rika humu ...et siakaifuta ile comment nikakumbuka msemo usemao Ukiona tangazo limechanwa ujue lishasomwa hilo....NYIE WASANII NA SISI MI MASHABAKI NA HAKUNA ALIYEMKAMILIFU XO UKIAMBIWA UKWEL CIO UNAKASIRIKA AU NYIE MARAIKA HAMKOSEI...jirekebisheni kwa hili