Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kurudi katika matumizi ya dawa za kulevya kwa msanii Chidbenz licha ya mara ya kwanza kutangaza kuacha watu wa kwanza ninaowaelekeza lawama hizi ni BABUTALE na KALAPINA maana hawa ndo watu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi wenzangu, Naombeni msaada ambaye atakuwa na wimbo wa Patricia Hillary wa njiwa part two anitumie nimetafuta sana napata part one tu. Nitafurahi mkinisaidia kwa hilo whatsup...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Huu wimbo nimeupenda ni kama una Ujumbe flan kwa watanzania hasa wanasiasa
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Ukitaka kwenda mwanza na ujui nini cha kufanya uenjoy safari yako ingia kwa hiii blog ujue cha kufanya ukiwa mwanza tanzania Www.onebigrocktz.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau karibuni tujadiliane kuhusu u mziki wetu pendwa! Kigogo, Tandale, TMK, Kino na wana wote TZ nzima karibuni! Njooni tuwajadili manabii na mitume wetu wa singeli; Sholo Mwamba, Manfongo, Dogo...
1 Reactions
76 Replies
14K Views
Cast: Michael Fassbender,Alicia Vikander,Rachel Weisz A lighthouse keeper and his wife living off the coast of Western Australia raise a baby they rescue from an adrift rowboat. klingelton...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Habari wana jamvi team ya singida united anapotokea mheshimiwa mwigulu nchemba ndo team ambayo miongoni TFF wameiandaa lazma icheze ligi kuu ikiwa ni moja ya shinikizo kutoka kwa viongozi wa siasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini Wakuu, naomba kufahamishwa mahali nitakapopata movies za zamani za action. Kwa kuspecify napenda zaidi hizi:- -Delta Force 3 -Hard Target - Van Damme -Maximum Risk -Van Damme
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Salaam za jioni. Natumaini wote mko poa, naomba kwa wale wakatoliki wenzangu wanisaidie beti zote za ule wimbo wa 'Uje Roho Mtakatifu, uanze mwanga wako.' Naukumbuka kidogo kipindi hiko...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Mtaendelea kupata hasara maisha yenu yote kama mtaendelea kumuita Alikiba katika show zenu Alikiba ana umwinyi sana,anamanagment mbovu,yeye mwenyewe hajitambui kabisa Unapoandaa show na kumlipa...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa wapenzi wa muviez. Ni muvi gani kali ulizotazama 2016. Kwa upande wangu mimi ni I.T ndyo muvie kali ya 2016
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tuzo za Soundcity kama ilivyo tuzo nyingine kubwa za vituo vya TV, ni tuzo zinazotolewa na kituo cha Soundcity ambacho maarufu kwa kutoa habari za burudani na muziki masaa 24. Tuzo zilifanyika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau, mi npo mitaa ya sombetini napenda kujua hapa mjini arusha ni wapi wanacheza karate hasa goju ryu? Mwenye kujua anipe msaada please
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Mrembo kutoka Kenya anayekwenda kwa jina la Vera Sidika, aliyekuwepo kwenye Beach Party ya WCB, ametumia Snapchat kuonyesha kushangazwa kwake na kilichotokea kwa mashabiki kwenye upande wa mavazi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Mimi wangu ni huu aliowashirikisha p square asee unaitwa kidogo kafanya poa Sana wewe je ni nyimbo Gani unaikubali Sana.. Moja tu
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Nyimbo nyingi sana zimekuja na zimepita lakini hii ngoma kila inapopigwa au kutumbuizwa na msanii husika basi hugusa hisia za wengi!Mimi binafsi sijaweza kuizoea,kila inapopigwa najikuta tu...
2 Reactions
63 Replies
17K Views
Kwa mujibu wa wanasiasa sita waliohojiwa na millard Ayo AUDIO: Wanasiasa 6 wa Tanzania wataja nyimbo zao bora za bongofleva kwa mwaka 2016 - millardayo.com hizi ndiyo nyimbo bora kwa mwaka huu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom