Nyimbo bora ya wakati wote inayogusa hisia!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Nyimbo nyingi sana zimekuja na zimepita lakini hii ngoma kila inapopigwa au kutumbuizwa na msanii husika basi hugusa hisia za wengi!Mimi binafsi sijaweza kuizoea,kila inapopigwa najikuta tu inanipata kisawasawa!Ngoma yenyewe ni "Nani kama mama" ya christian bella!Hii naweza kuiita nyimbo yangu bora ya wakati wote!Je,wewe ngoma ipi hapa bongo ni bora ya wakati wote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom