Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Kwa mujibu wa wanasiasa sita waliohojiwa na millard Ayo AUDIO: Wanasiasa 6 wa Tanzania wataja nyimbo zao bora za bongofleva kwa mwaka 2016 - millardayo.com hizi ndiyo nyimbo bora kwa mwaka huu unaoisha 2016. Nazitaja kwa kufuata ubora wa nyimbo
1. Darasa-muziki
2. Diamond x Rayvan-salome
3. Alikiba-aje
We unabisha ? Taja zako 3 tuone
1. Darasa-muziki
2. Diamond x Rayvan-salome
3. Alikiba-aje
We unabisha ? Taja zako 3 tuone