Taja wimbo mmoja tu WA diamond ambao unaukubali

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,320
50,538
Mimi wangu ni huu aliowashirikisha p square asee unaitwa kidogo kafanya poa Sana wewe je ni nyimbo Gani unaikubali Sana.. Moja tu
 
Ipo mingi tu lakini huu ndiyo ulinifanya nianze kujua huyu jamaa ana kipaji na kama akitulia anaweza kufika mbali zake katika dunia ya muziki.

Mimi wangu ni huu aliowashirikisha p square asee unaitwa kidogo kafanya poa Sana wewe je ni nyimbo Gani unaikubali Sana.. Moja tu
 
Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sinabudi nielewe
Siwezi kung'ang'ania maana sio fungu langu
Japo ni shida ila, nitabaki mwenyewe.
ohh ila, mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani, mwambie mapenzi mabaya
Hata angali hai Kairuki asingetibu gonjwa langu..

Tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui
Mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui
Ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno
Mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo. ...

Ukimwonaaaa
 
nasubiri remix ya ukimwona faru john
 
Back
Top Bottom