Dah
Kinondoni mosco ilikuwa kila siku night lazima singeli ipigwe ,yani mosco bora maji yakatike ila siyo umeme
Kila siku night tupo kwenye show ya singeli
Asikuambie mtu show za singeli tamu achana na za kwenye ukumbi ,za kitaa ndio amsha amsha ,asiyewahi kuhudhuria show ya singeli basi kakosa entertainment moja matata
Wazee wa show show .
DJ duke amsha baba
Sema kwenye hz show uhuni mwingi kama ukiwa mzembe unachukuliwa
Ilikuwa ikifika mwishoni mwa show kwenye tisa usiku inapigwa ngoma ya mnyasa huyo ,kimbiza mnyasa huyo ikifika mda huo shee kaa mbali kama uko pekee yako sabb utaumia Na kuibiwa kila kitu
Kova ndio kaifanya singeli ipotee ,mwanzoni singeli ilikuwa kwenye peak sana tokea apige marufuku vigodoro show za singeli zimepoteza mvuto ,.simela dogo nigga akamtungia nyimbo sumu ya panya
Kova kazingua sana ..nimemmiss sana Moscow kila siku rusha roho,singeli Leo nyumba hii kesho nyumba ile kesho kutwa maskani ile Mara maskani hii ..ikifika tatu usiku unaanza kusikia mlio wa mziki hapo unafuata tu upepo wapi panaposikika mziki..
Top 3 yangu
1.Simela
2.Mczo Morfan "huyu ndio anakimbiza saizi"
3.Dogo kibo