Mtaendelea kupata hasara maisha yenu yote kama mtaendelea kumuita Alikiba katika show zenu
Alikiba ana umwinyi sana,anamanagment mbovu,yeye mwenyewe hajitambui kabisa
Unapoandaa show na kumlipa msanii ahusike katika show anapaswa akusaidie kuitangaza show husika ili na wewe urudishe pesa uliyomlipa.
Tuchukulie mfano show ya dodoma jana je alikiba aliitangaza popote? Hata kwenye page yake? Huyu dogo always akiwa na show akijitahid sana ataipost mara moja basi
Angalia wcb wanavyotangaza show zao hata kama ni za vichochoron kama watakayofanya mavocko na ray dodoma keshokutwa wanaitangaza sana ingawa na uhakika walishalipwa chao hapo wanakuja kupiga show na kusepa
Na uhakika hata ile ya voda waliyofanya xmas walishalipwa ila waliitangaza sana
Malengo ya kutangaza show unayoperform ni kumsaidia muandaaji ili na yeye arudishe gharama alizokulipa
Sasa endeleeni kumchukua huyo mwinyi hatangazj show zenu na akija watu hawajajaa hapigi show wakat kalipwa
Akijitahid akapanda ukumbini utasikia yoooooo!!
Sasa yoooo matako yako wakat umempa mtu hasara