Tuwaseme
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 645
- 1,191
Mrembo kutoka Kenya anayekwenda kwa jina la Vera Sidika, aliyekuwepo kwenye Beach Party ya WCB, ametumia Snapchat kuonyesha kushangazwa kwake na kilichotokea kwa mashabiki kwenye upande wa mavazi badala ya kuvaa nguo ambazo haziendani na mandhari ya beach kama show yenyewe ilivyokuwa ikimaanisha.. Ameshangazwa na kitendo cha wabongo kuvaa suti na mawazi mengine yasioendana na show hiyo