K kulwa sholoma Member Mar 21, 2016 34 79 Dec 29, 2016 #1 Mambo vipi wadau, mi npo mitaa ya sombetini napenda kujua hapa mjini arusha ni wapi wanacheza karate hasa goju ryu? Mwenye kujua anipe msaada please
Mambo vipi wadau, mi npo mitaa ya sombetini napenda kujua hapa mjini arusha ni wapi wanacheza karate hasa goju ryu? Mwenye kujua anipe msaada please