amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 462
Habari wana jamvi team ya singida united anapotokea mheshimiwa mwigulu nchemba ndo team ambayo miongoni TFF wameiandaa lazma icheze ligi kuu ikiwa ni moja ya shinikizo kutoka kwa viongozi wa siasa na Kama mnabisha subirini muonee