Rock videos, kuna watu wanapiga gitaa?

Rock videos, kuna watu wanapiga gitaa?

Unawajua Fleetwood Mac mkuu?
Ni bendi ya muda kidogo.

Angalia kuanzia dakika ya 2:00 na 2:46, jamaa hafai.
 
siwapati hao jama. ila hilo solo limeimba vilivyo. kuna huyu jamaa wa U2 anaitwa the edge. wapiga gitaa humvulia kofia.

Kaka U2 wanaisha sana nimewasikiliza sana home japo kwangu Jimi Hendrix, Eric Clapton, B.B King (R.I.P) na Mark Knopfler ni Legends hadi Santana alisema. Tafuta discography zao ujionee mwenyewe.

BB.King (King of Blues)

Eric Clapton na BB KIng

Mark Knopfler
 
Kaka U2 wanaisha sana nimewasikiliza sana home japo kwangu Jimi Hendrix, Eric Clapton, B.B King (R.I.P) na Mark Knopfler ni Legends hadi Santana alisema. Tafuta discography zao ujionee mwenyewe.
kuna watu wana talents. Hendrix mara nyingi ana top lists za best guitarists. alifanya kazi miaka 3 tu 27 - 30 akafa.
 
Back
Top Bottom