Wimbo wa njiwa wa Patricia Hillary

Wimbo wa njiwa wa Patricia Hillary

Joined
Jan 26, 2015
Posts
41
Reaction score
13
Habari wanajamvi wenzangu,

Naombeni msaada ambaye atakuwa na wimbo wa Patricia Hillary wa njiwa part two anitumie nimetafuta sana napata part one tu.

Nitafurahi mkinisaidia kwa hilo whatsup namba.

Thanks.
 
Habari wanajamvi wenzangu. Naombeni msaada ambaye atakuwa na wimbo wa patricia Hillary wa njiwa part two anitumie nimetafuta sana napata part one tu. Ntafulahi mkinisaidia kwa hiro whatsup namba. 0712378559. Thanxs.
Matumiz sahihi ya L na R Ni shida sana kwako,
Wewe na me au ke ili izo namba zitusaidie na sisi kupata vingine baada ya ww kupata wimbo
 
Back
Top Bottom