Washindi wa WatsUPTV African Awards 2016

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,011
2,000

Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016, kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana.List ya washindi wote 22 waliyotangazwa

Best Newcomer Video of the Year
Harmonize ft Diamond Platinium ( Badoo)

Best African Reggae Dancehall Video
Shatta Wale ( Chop Kiss ) Ghana

Best Afro Pop Video
Scientific Ft Quincy B (Rotate) Liberria

Best African Hip Pop Video
Iba One (Dokera) Mali

Best African RnB Video
Alikiba (Aje) Tanzania

Best African Traditional Video
Tay Grin FT 2BABA ( Chipapaa ) Malawi

Best African Dance Video
Oudy 1ER (Lokolo) Guinea

Best African Collabo Video
Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania

Best African group Video
Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania

Best African Male Video
Diamond Platinium ft Psquare ( Kidogo ) Tanzania

Best African Female Video
Vivian Chidid ( Wuyuma) Senegal

Best African Performance
DJ Arafat (Concert a Korkogo) Cote D’Ivorire

Best International Video
Beyonce – Formation (USA)

Best East African Video
Alikiba (Aje) Tanzania

Best Central African Video
Ferre Gola ft Voctoria Kimani (Tucheze) DR Congo

Best North Africa
Ibtissam Tiskat

Best South African Video
Casper Nyvorvest (War Ready)

West Africa Video
DJ Arafat

Best African Video Director
Godfather Kidogo (Nigeria)

Best African Music of the Year
Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania

Special Recognition Award Music Video Africa
Mr Eazi ft Efya (Skin Tight) Nigeria

Viewer’s Choice Awards
Designer Panda (USA)

NB: Nimetofautisha rangi kulingana na idadi ya tuzo.
 
Japkas

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
993
1,000
Hongera kwa wasanii wote wa Tz waliotuzwa. Ngoja tusubiri timu zije.
 
Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,824
2,000

Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016, kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana.List ya washindi wote 22 waliyotangazwa

Best Newcomer Video of the Year
Harmonize
ft Diamond Platinium ( Badoo)

Best African Reggae Dancehall Video
Shatta Wale ( Chop Kiss ) Ghana

Best Afro Pop Video
Scientific Ft Quincy B (Rotate) Liberria

Best African Hip Pop Video
Iba One (Dokera) Mali

Best African RnB Video
Alikiba (Aje) Tanzania

Best African Traditional Video
Tay Grin FT 2BABA ( Chipapaa ) Malawi

Best African Dance Video
Oudy 1ER (Lokolo) Guinea

Best African Collabo Video
Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania

Best African group Video
Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania

Best African Male Video
Diamond Platinium
ft
Psquare ( Kidogo ) Tanzania

Best African Female Video
Vivian Chidid ( Wuyuma) Senegal

Best African Performance
DJ Arafat (Concert a Korkogo) Cote D’Ivorire

Best International Video
Beyonce – Formation (USA)

Best East African Video
Alikiba (Aje) Tanzania

Best Central African Video
Ferre Gola ft Voctoria Kimani (Tucheze) DR Congo

Best North Africa
Ibtissam Tiskat

Best South African Video
Casper Nyvorvest (War Ready)

West Africa Video
DJ Arafat

Best African Video Director
Godfather Kidogo (Nigeria)

Best African Music of the Year
Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania

Special Recognition Award Music Video Africa
Mr Eazi ft Efya (Skin Tight) Nigeria

Viewer’s Choice Awards
Designer Panda (USA)
Kuna sehemu naona red!!!!!!
I wish you could color all WINNERS from Tanzania with RED
Lakini yote Baridi!
Congratulation to Winners
 
tzfanatic

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
624
500
Kuna sehemu naona red!!!!!!
I wish you could color all WINNERS from Tanzania with RED
Lakini yote Baridi!
Congratulation to Winners
yaah bora umeona man , anaachaje kuweka red kwa ali k , ambaye ametwaa tuzo mbili
 
Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,011
2,000
Kuna sehemu naona red!!!!!!
I wish you could color all WINNERS from Tanzania with RED
Lakini yote Baridi!
Congratulation to Winners
Nimetofautisha rangi kulingana na idadi ya tuzo that is it. Ndio maana kuna medali ya dhahabu, medali ya shaba na medali ya fedha.
 
tzfanatic

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
624
500
Nimetofautisha rangi kulingana na idadi ya tuzo that is it. Ndio maana kuna medali ya dhahabu, medali ya shaba na medali ya fedha.
naona mnaumia , sana jamaa kuchukua tuzo na ndo maana ukamfanyia figisu hata picha yake haukuiweka , thanks kwa mods wameona unafiki wako....unasahau jamaa wote ni watanzania na wameshinda kimataifaa

Tena jamaa kasimama peke yake na kachukua tuzo.....
 
Bailly5

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
16,308

Bora umeliona hilo aisee. Naona hao jamaa hawajafurahia kabisa.
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,237
2,000
yeeah man, Vijana wanatumia nguvu kubwaa, kumficha hawajui kama moto vile
Hahahha mi hua Nacheka tu.Kumbe mmekubali wenyewe tangu jamaa anaimba muziki hyo AJE ndo kaimba Eeeeeehhh na zingine ilikua uharo tu.Sasa mwenzenu Mondi huko duniani unaendea mwaka wa4 mfululizo anakinukisha tu.Muda mwingine muwe mnakubali kuwa chini ili mpate mipango ya kupanda juuu.Bila kuwasema na ule uchafu sijui Lupela,mara mwana Dsm,mara sijui kina cheketua kua mlikua mnacheza tu leo mkaenda kutengeneza video nzuri mngetokaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom