Msaada: Beti za wimbo wa uje Roho Mtakatifu

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,092
21,773
Wakuu,

Salaam za jioni.

Natumaini wote mko poa, naomba kwa wale wakatoliki wenzangu wanisaidie beti zote za ule wimbo wa 'Uje Roho Mtakatifu, uanze mwanga wako.'
Naukumbuka kidogo kipindi hiko nipo kwenye kipaimara.
 
Uje Roho Mtakatifu,
Tuangaze toka mbingu,
Roho zetu kwa mwangao.

Uje Baba wa maskini, uje mtoa wavipaji
Uje Mwanga wamioyo

Ee Mfariji mwema Sana, ee rafiki mwanana
Ee raha mstarehe.

Kwenye kazi u pumziko, kwenye joto burudisho
Mfutaji wa machozi.

Ewe Mwanga wenye heri, uwajaze waamini
Neema yako mioyoni.

Bila nguvu yako wewe, mwanadamu hana kitu
Kwake yote yanakosa.

Osha machafuko yetu, panyeshee pakavu petu
Nakuponya majeraha

Ulegeze ukaidi, Pasha moto ubaridi, nyusha upotovu wote.

Wape waamini Wako, wenye tumaini kwako, paji zako Saba.

Wape tuzo ya fadhila, wape mwisho bila ila, wape heri ya milele
 
Haya ! imba kwa kuwafuata hao
Mkuu umenikumbusha mbali sana sana mkuu!Miaka ya 1980's hukooo!!Hapo tupo Parokia ya Mipa,nimeshika ile fimbo ya kiaskofu inaitwa "Pastorale"...Halafu jamaa yangu ambaye sasa ni marehemu akiwa pembeni yangu na "Mitre"

Wakati huo askofu wa Shinyanga ni Marehemu Castrol Sekwa...Tumemsindikiza huko kutoa Kipamira
Kweli miaka inakwenda kwa kasi sana mkuu avogadro ...hapo wimbo unapigwa vijana wanapewa kipaimra na mapaji saba ya Roho Mtakatifu.Hawa kina Castro Sekwa ndio malegendary wenyewe...Achana na hawa kina "Mwanya" wanaosema maisha yamekuwa rahisa sana wakati watu wanashindia ukwaju na ubuyu
 
Uje Roho Mtakatifu,
Tuangaze toka mbingu,
Roho zetu kwa mwangao.

Uje Baba wa maskini, uje mtoa wavipaji
Uje Mwanga wamioyo

Ee Mfariji mwema Sana, ee rafiki mwanana
Ee raha mstarehe.

Kwenye kazi u pumziko, kwenye joto burudisho
Mfutaji wa machozi.

Ewe Mwanga wenye heri, uwajaze waamini
Neema yako mioyoni.

Bira nguvu yako wewe, mwanadamu hana kitu
Kwake yote yanakosa.

Osha machafuko yetu, panyeshee pakavu petu
Nakuponya majeraha

Ulegeze ukaidi, Pasha moto ubaridi, nyusha upotovu wote.

Wape waamini Wako, wenye tumaini kwako, paji zako Saba.

Wape tuzo ya fadhila, wape mwisho bila ila, wape heri ya milele
asante
 
Nimekumbuka mbali sana,wakati huo niko mseminari seminari ndogo st benedict namupa
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana sana mkuu!Miaka ya 1980's hukooo!!Hapo tupo Parokia ya Mipa,nimeshika ile fimbo ya kiaskofu inaitwa "Pastorale"...Halafu jamaa yangu ambaye sasa ni marehemu akiwa pembeni yangu na "Mitre"

Wakati huo askofu wa Shinyanga ni Marehemu Castrol Sekwa...Tumemsindikiza huko kutoa Kipamira
Kweli miaka inakwenda kwa kasi sana mkuu avogadro ...hapo wimbo unapigwa vijana wanapewa kipaimra na mapaji saba ya Roho Mtakatifu.Hawa kina Castro Sekwa ndio malegendary wenyewe...Achana na hawa kina "Mwanya" wanaosema maisha yamekuwa rahisa sana wakati watu wanashindia ukwaju na ubuyu
Mkuu Askofu Castor Sekwa ilikuwa kidogo tu anifanye nifate njia ya upadre kwa jinsi nilivyokuwa nikimuona na mavazi yake ya kiaskofu nikiwa mtoto, hadi nikaitwa jina lake kwenye ubatizo.
 
Mkuu JEKI wale ndio walikuwa Maaskofu haswaa!!Yaani akisimama na kuongea,basi hata ile "tone" ya kiuchungaji unaipata!!Apumzike kwa Amani
 
Back
Top Bottom