Hello..
Nilikutana na mzee mmoja one month ago akaniuliza, "Is it true that this country has used wasomi at the point hawahitajiki tena?" Kisa tu alikutana na graduate aliyesomea civil...
Kiukweli katika siku nilizo kwazika ni leo, nikajuwa maneno ya watu wazima kuwa uyaone yame maanisha mengi, hizi tabia za mimba kutamani vitu ime kuwa kwangu shida mara leo pweza, mara soda, mara...
Yaani hii movie huwa naitizama sana, hadi sehemu nyingi nimekuwa nafahamu watazungumza neno fulani... na sijawahi ichoka kuitizama... Inafundisha vizuri ina story nzuri, Ina action za taratibu na...
Hii tamthilia nimetokea anza iangalia.. Mwaka huu.. Ila ni moja kati ya Tamthilia bora kwangu
Kwanza Comedy za bwana Frank Gallagher ni Noma
Debbie, Carly ni noma
Kwa wadau ambao ni wapenz wa...
Je ni Nadal kupata 15th Grand Slam of his career au ni Maestro Roger Federer kuwa na 18th Grand slam?
Na hii ni baada ya Novak The Djoker kutolewa Alhamisi iliyopita "Djokovic fell victim to one...
SINGELI na KABALI huambatana kama CHIPSI na MAYAI!,......kule kwenye Show za muziki wa DANSI wanaotajwa majina kwenye nyimbo ni Mapedeshee watunza Fedha,....na wanapotajwa husimama kwa Mbwembwe na...
Huyu Makame jina lake na jinsi anavyo ongea anaonekana ni Mzanzibari.
Sasa jinsi wanavyo mweka wanamuonyesha kwamba ni mtu mshamba sana na wanamtengenezea uhusika wa kumdharaulisha sana.
Kwa maoni...
Kipindi cha miaka ya 1990-2000s mwanzoni hivi tumeshuhudia kukitokea marapa wengi wa kike waliokuwa wana uwezo mkubwa kwenye rap game ya USA. Baadhi ya marapa wa kike walioibuka miaka hiyo na...
Kuna hii mistari ya huu muziki sweet mangi huu mwenzenu naipenda sana yani nikipiga huu wimbo najikutaga tu narudia rudia mara tatu tatu hapa anapoimba " sina takataka katapila kata Kila demu...
*Mama akiwa na mwanae walipitishwa na dereva tax mitaa ya wadada wanapojiuza....*
Mtoto: *mama hao wadada wanasubiri nn apo*
Mama: *wanasubiri waume zao watoke kazin wawachukue waende makwao..*...
Jamani kuna huu wimbo wa malaika, uliotungwa enzi hizo, malaika nakupenda malaika, wakenya eti wanadai ni wa kwao , wakati miriam makeba aliaknowledge kuwa wimbo huo ni wa tanzania, Inasemekana...
Filamu inaitwa QUEEN OF KATWE.Ni kisa cha kweli kinachoelezea historia ya binti wa miaka 10 (PHIONA MUTESI) anaeishi katika lindi la umasikini uliokithiri na mama yake (LUPITA NYONG'O )npamoja na...