Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,664
- 11,680
Yaani hii movie huwa naitizama sana, hadi sehemu nyingi nimekuwa nafahamu watazungumza neno fulani... na sijawahi ichoka kuitizama... Inafundisha vizuri ina story nzuri, Ina action za taratibu na poa sana inaleta hisia za kusisimua natural power of God. Story ya two brothers from different Mother and Father but they grow up together and they build the city together chasing for one women yaani wali have fun sana... but walikuja ku end up kwa kutengena na kuwa maadui wakubwa, one brother akawa king na one Brother akawa leader wa Watumwa na kufanikiwa kuwaondosha Utumwani..
Story ambayo imekubalika haswa na Dini zaidi ya Tatu Jews,Christian and Muslims
Movie ilirekodiwa mwaka 1956 kabla Tanzania hatujapata uhuru... Ni movie za zaidi ya masaa matatu.. actuary ni ndefu kama wewe mdhaifu wa usingizi utachoka hata kusinzia ila ni tamu sana...
Its the BEST movie ever... but
''I command you to your Hebrew God, there is no name, if you die it would be by his hand not by mine! '' .Ramses akimuambia Moses..
Farewell my one time brother!
Jambo la kushangaza Hadi leo watu wameshindwa kuzishika amri Kumi za Mungu...
So let it be written, so let it be done.