Wapenzi wa Tamthilia ya Shameless

lumia21

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
273
252
Hii tamthilia nimetokea anza iangalia.. Mwaka huu.. Ila ni moja kati ya Tamthilia bora kwangu

Kwanza Comedy za bwana Frank Gallagher ni Noma

Debbie, Carly ni noma

Kwa wadau ambao ni wapenz wa hii tamthilia karbu

Share nasi nan una mkubali sana kwa hii tamthilia..
32d40a866d5a756bbf487a3343b2078f.jpg
bc9bed2edccf686de624ef777bd618a8.jpg
 
Kuna character inaitwa Lip naielewa sana.
Hii niliiangalia mwaka 2013....
 
Je mwajua kuwa mickey na Ian sio mashoga in reality!??
 
Back
Top Bottom