WWE John Cena autwaa mkanda wa WWE Championship

WWE John Cena autwaa mkanda wa WWE Championship

Ivi awamu hii bado kuna watu wanafatiliaga haya mambo ?? [emoji23][emoji23]

Im not judging though kila mtu ana starehe yake.
 
Acheni kupoteza muda raw is not real ni kama maigizo tu kama unataka kuinjoy show za kibabe karibu UFC uone wanavopasuka watu sio hayo maigizo njoo huku kuna akina macgregory O'Connor
mimi uwa nachukulia mieleka kama movie tu ambazo jambaz, anakufa kiuongo na watu wanafurahi tena afadhali wrestling mana wana take real risk mkuu
 
Back
Top Bottom