Hii ndio maana halisi ya haya majina yanayotajwa sana kwenye muziki wa singeli

bukoba04

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,402
1,291
SINGELI na KABALI huambatana kama CHIPSI na MAYAI!,......kule kwenye Show za muziki wa DANSI wanaotajwa majina kwenye nyimbo ni Mapedeshee watunza Fedha,....na wanapotajwa husimama kwa Mbwembwe na kwenda kutunza MIHELA!!

Lakini huku kwenye SINGELI haya Majina yanayotajwa aisee kaa chonjo kabisa!!

Ukisikia majina kama "Sweetbert Chuma cha PUA......Ramma Kitorondo... Mreno Kono Bao....Demaki Mtoa Roho....Masela zuna zuna...Chavichavi,...nasema hivii kaa chonjo!!!

Hawa wanaotajwa huwa HAWATUNZI hata MIA na huwezi kuwaona WAKISIMAMA...yaani huwaoni hata ukiwa-GOOGLE.....Hawa hupunga mikono yao hewani kutokea GIZANI kumaanisha "Tupo jamani, NEEMA inakuja!"

Sasa SHOW ikiisha sasa lazima mpigwe KABALI mpaka SHINGO zivimbe kama MAPAJA ya TEMBO!!
 
We jamaa muhuni
 
Back
Top Bottom