Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hatimae kile tukichokuwa tunakitamani kama taifa kitokee now kimetimia ni furaha kwa taifa zima, series inaitwa SIX ni drama ya mwaka huu ndo kwanza imetoka mwaka huu episode ya kwanza, kwa...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Lengo la hii channel nadhani ilikuwa ni kuitangaza zaidi tasnia ya filamu za Bongo. Kinachofanyika sasa ni upuuzi mtupu utafikiri ni Channel ya bure vile. Kwa hatua ambayo industry ya film hapa...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Waungwana, amani iwe nanyi! Mimi hupenda kusikiliza nyimbo za gospel za Kiingereza za Waimbajia wa Marekani kama Don Moen, Hill Song, Michael Smith, Paul Wurbug, Women of Faith, Barloche na...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Habari, Jaman yoyote anaejua website nzuri ya kustream na kudownload nyimbo za club za miaka ya 80 hadi mwanzo mwa miaka ya 90 naomba anipatie...mfano wa mahadhi ya nyimbo zenyewe ni kama ain't...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hafijawa Matata alidamka asubuhi na mapema kwani usiku wote kwake ulikuwa kiza cha kuogofya!naaam kaka hafijawa hakupata hata lepe la usingizi. Aliposikia milio ya jogoo kuashiria kuwa kiza...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi hii nyimbo mpya ya Ay el- kapo Ana Maanisha Nini Au a namsifia huyu jamaa mfanyabiashara huyo Au ndo ameamua tu kuipa jina hiyo nyimbo Au ndo na yeye anadhilisha kwa jamii kuwa ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa jina la ile movie ya Nigga aliyeliwa na mamba. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
854 Views
KUNA MOVIE Niliangaliaga kipindi kirefu kidogo ila kwa sasa nimeisahau jina na wahusika wake....nimejaribu ku google kwa kadr ya ufaham wangu lakin imeshindikana.Hapa najaribu kuku hadithia ili...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi hatuwezi kuchekesha mpaka tuigize lafudhi za Lugha za asili Kimakonde, kimasai, kikurya au Lugha yoyote ndio tuoneshe tunachekesha? Au kutembea upande upande kama mlemavu? Au kuvaa vibaya...
1 Reactions
1 Replies
802 Views
Kwa wale wanaofatilia tamthilia hii kupitia azam too, binafsi nimetokea kuipenda sana tamthilia hii ya kiindi kwani ina mafunzo mengi juu ya maisha ya ndoa hasa mwanamke kuwa mvumilivu katika...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Unaionaje combination ya millard Ayo na Mina kwenye Amplifaya ya clouds.
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Mina ally anapuyanga kwenye amplifier clouds fm[emoji24] [emoji24] [emoji24]
0 Reactions
1 Replies
8K Views
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Which film when viewed on a large screen with Dolby /DTS sound impressed you a lot. Not so much the story content just the look and sound. tono de llamada samsung I like Gravity a lot but very...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Kuna baadhi ya nyimbo ambazo zimeibua/zimekuza baadhi ya maneno ambayo yanatumika hadi leo na walio wengi. Habari ndo hiyo - Fa & Ay Bado niponipo - Fa Unanitega - Fa & noorah Usiusemee moyo -...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Hivi ile blog ya Millard ayo hawaruhusiwi kuripot habari za burudan zinazoandaliwa na media nyingine tofaut na clauds? Jana ilikua ndo siku ya Tuzo za EATV nimeangalia hawajaripot chochote kuhus...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Baada ya Darasa kushusha ngoma kali inayoitwa Muziki, nilitegemea Bill Nas kuja na ngoma ambayo ingeweza hata ku-compete walau. Labda ni mimi tu sijaikubali, lakini iko chini sana nikilinganisha...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Check out the song.. Kusema Wamezoea by Shubey K Platinums Shubey K Platinums - Kusema Wamezoea free MP3 download | Mdundo.com
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Orodha ya wasanii 10 Afrika, matajiri mwaka 2017 kwa mujibu wa Forbes na kiasi ambacho wanamiliki, orodha ya Januari 09, 2017; 10. Jose Chameleone - Uganda - net worth - $6M 9. Sarkodie - Ghana...
1 Reactions
4 Replies
69K Views
Back
Top Bottom