Only if you are interested

sifuri

Senior Member
May 12, 2013
154
88
Hello..

Nilikutana na mzee mmoja one month ago akaniuliza, "Is it true that this country has used wasomi at the point hawahitajiki tena?" Kisa tu alikutana na graduate aliyesomea civil engineering akiwa anafanya ubodaboda.
Sikushangaa nilimjibu tu kuwa ni kawaida ila moyoni nilimwomba Mungu asiniulize my personal bio maana ni heri ya huyo mwenye bodaboda.

Kwa kutambua tuna wataalamu wengi wapo street university na hawajui wapi wanaweza kuonesha talent zao, nimeona niwashirikishe wadau kama wanaweza kufanya jambo all together na likawa.

Proffessional tamthilia ni business iyayolipa kinoma kama ukiifanya kwa kuzingatia ueledi wa taaluma yenyewe. Kuna project nyingi za tamthilia kama wasomi tunaweza kuzifanya all together zikawa useful kwa jamii wakizitazama.

Nimemaliza chuo kikuu last year nami nipo street university ningependa tujadiliane kwa wale wenye nia ya kufanya kitu katika proffessional drama.

Thanks
 
Back
Top Bottom