Kiukweli katika siku nilizo kwazika ni leo, nikajuwa maneno ya watu wazima kuwa uyaone yame maanisha mengi, hizi tabia za mimba kutamani vitu ime kuwa kwangu shida mara leo pweza, mara soda, mara embe mbichi mara hili mara lile.duuh leo mke wangu ame kuja na mpya!!! Katamani "bunduki " eti atamani kuwa kama yuko vitani ivi. Wadau naomba ushauri... Plzz kwa haraka asija akanitoa roho huyu mwanamke