jana alifanyiwa birthday..gauni nzuri.keki nzuri..muziki kidogo....na hapo ni baada ya kutoka kwa big brother kuongea nae...aiseee Uriel analalamika sijawah ona mweeeeGifty naona anapozi sana nataman atolewe soon,
Uriel juzi alikua anakera kaulizwa vitu na big anajifanya anapanic halafu sjajua jana kama bday yake big alimfanyia chocchote
My favourate ni bally naona anausoma mchezo unavyoenda kwanza
ha ha ha ha bas atakua amefurah sana maana jana sikupata muda wa kuangalia.... analalamika mpaka anakera anaonekana kabisa anaigizajana alifanyiwa birthday..gauni nzuri.keki nzuri..muziki kidogo....na hapo ni baada ya kutoka kwa big brother kuongea nae...aiseee Uriel analalamika sijawah ona mweeee
Gifty naona anapozi sana nataman atolewe soon,
Uriel juzi alikua anakera kaulizwa vitu na big anajifanya anapanic halafu sjajua jana kama bday yake big alimfanyia chocchote
My favourate ni bally naona anausoma mchezo unavyoenda kwanza
mkuu kwangu mie bisola its pure african woman na lile limsambwanda acha kabisaa black beutyyyMen Gift ni mrembo
yale macho si mchezo
ana asili ya Uingereza pia.
Bally yupo poaGifty naona anapozi sana nataman atolewe soon,
Uriel juzi alikua anakera kaulizwa vitu na big anajifanya anapanic halafu sjajua jana kama bday yake big alimfanyia chocchote
My favourate ni bally naona anausoma mchezo unavyoenda kwanza
Ntalipia package kesho. Ila sijui kwanini BBA haipo mwaka wa tatu huu. Tatizo sijui ni niniYeah mwanzo hua interesting sana