Hivi hii movie ya Sarafina uwa ni ya kweli au maigizo tu?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,580
Nipo naitizama machozi yananilenga lenga sina namna maana nipo na watu ila kiukweli inasikitisha makaburu sio watu
 
True story hiyo mkuu,hii mizungu inashobokewa na mijinga ila ni ya four sana
 
Back
Top Bottom