Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,834
- 4,463
Je ni Nadal kupata 15th Grand Slam of his career au ni Maestro Roger Federer kuwa na 18th Grand slam?
Na hii ni baada ya Novak The Djoker kutolewa Alhamisi iliyopita "Djokovic fell victim to one of the greatest shocks in grand slam history as he lost 7-6 (10/8) 5-7 2-6 7-6 (7/5) 6-4 to Uzbek wildcard Denis Istomin"
Na leo yule kipenzi cha Waingereza Sir Andy Murray amedondoshwa katika Four set thriller na hivyo kutoa matumaini makubwa kwa kina Nadal.
Nguli wengineo wa tennis duniani bado wapo katika Autralian Open 2017 kuhakikisha Nadal na Federer wakitoka tena patupu.
Tuendelee kufuatilia