Malipo ya wasanii kweli bado yapo??

super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
223
171
Heshima kwenu wanajamvi...
Nakumbuka kuna kipindi serikali ilitangaza kwamba kila wimbo utakaopigwa redioni basi msanii husika atalipwa kiasi flani cha pesa. Kwa anayejua kuhusu suala hili tujuzane, utaratibu huu bado upo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom