Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,019
- 168,057
Kuna hii mistari ya huu muziki sweet mangi huu mwenzenu naipenda sana yani nikipiga huu wimbo najikutaga tu narudia rudia mara tatu tatu hapa anapoimba " sina takataka katapila kata Kila demu anaenitaka kwata Kila shoot,, ila wanasema Kila mwanamke anataka Kila mwanaume amkatie poooochi!" nabarikiwaga sana nahizi verses!
Nawewe tupiamo tuverse tunatyokubariki bas!
Nawewe tupiamo tuverse tunatyokubariki bas!