Vipi kama wewe ndo ungekuwa dereva taxi?

Dee Mallz

Member
Jan 19, 2017
30
22
*Mama akiwa na mwanae walipitishwa na dereva tax mitaa ya wadada wanapojiuza....*

Mtoto: *mama hao wadada wanasubiri nn apo*
Mama: *wanasubiri waume zao watoke kazin wawachukue waende makwao..*
DEREVA TAX: *aaaaaah! Mama acha uongo mwambie Mtoto ukweli hao ni Malaya na hapo wanasubiri wanaume ili wafanye "matusi" kwa malipo*
MTOTO: *mama, na watoto wanaozaliwa na hao hufanya kaz Gan?*
MAMA: *Mara nyingi hua ni madereva tax*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom