Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

“Where do you live?” (unaishi wapi?) “Tanzania! You?” (Tanzania! Wewe?) “Oman.” “This is my first time to chart with an African girl, you look stunning...” (hii ni mara yangu ya kwanza...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
LOVE STORY: PENZI PENZINI SEHEMU YA 1. AGE : 18+ Alice ni msichana mrembo wa sura na umbo, ana rangi ya choculate, mrefu wa wastani na ana macho ya kusinzia, shavuni ana vitundu vidogo viwili...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
HADITHI: Msafara wa Mamba SEHEMU: 01 MTUNZI: Ally Mbetu ‘DR AMBE’ SIMU: 0713646500 Siku zote kwenye msafara wa mamba huwa haukosi kenge na mijusi. Msichana Herena bila kutegemea amejikuta...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
SEVEN DAYS IN HELL! (SIKU SABA KUZIMU)-1 Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
It's been a while hatujaonana wakuu. Najua 'tumemissiana' sana au sio wandugu? Haya sasa nimerudi tena na Riwaya ya NYUMA YAKO yenye mahadhu ya Kijasusi na kiitelijensia kama tulivyofanya kwenye...
11 Reactions
245 Replies
53K Views
RIWAYA: JASUSI KOMANDO NA; BAHATI MWAMBA. SIMU: 0758573660 1. BERBERA, SOMALIA (Somaliland). Alivuta pumzi zake kwa kasi kisha,alizishusha taratibu huku akiwa amefumba macho yake na kichwa...
8 Reactions
23 Replies
55K Views
KADI Hadithi fupi, kali: iliyoandikwa miaka zaidi ya karne moja iliyopita. Imefasiriwa kwa Kiswahili na Wako Mtiifu. Richadi Buruweli, wa New York, hataweza kamwe kuacha kujuta kwa nini lugha ya...
3 Reactions
12 Replies
7K Views
RIWAYA: KICHAA. Na: ZUBER R. MAVUGO. N0. 01. Njaa, iliendelea kulisumbua tumbo lake na kumpelekea kuanza kujipitisha maeneo ya ma'ntilie, huku akiamini kuwa shibe yake ipo mikononi mwao. "mmh...
4 Reactions
102 Replies
27K Views
HAPPY AT LAST (FURAHA HATIMAYE) Eric Shigongo “Umeolewa?” “Ndio!” “Mume wako yuko wapi?” “Dar es Salaam!” “Sijawahi kumwona hata mara moja akija hapa hospitali!” “Ana kazi nyingi sana ofisini...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
"JENEZA LA AJABU Mtunzi; HAKIKA JONATHAN Whatsup; 0629905923 ***SEHEMU YA 01**** Ikulu kwa mfalme ; "Siwezi kufa kirahisi namna hii, dunia tamu bwanaaa weeeh, mali zangu hizi nitamuachia nani...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
MAJIRA ya jioni nikielekea nyumbani, macho yangu yaligota kwenye wallet iliyodondoshwa njiani. Niliiokota na kuifungua ndan ili kuona kama kuna vitambulisho vitakavyowezesha kupata namba za...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu msimuliaji wa matukio katika hiki kipindi licha ya kusimulia na kuyapanga matukio vizuri na kwa ustadi mkubwa, ila anazidisha mno chumvi. Hebu tafuta simulizi zake kuhusu Bruce Lee halafu...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Sehemu ya kwanza ILIKUWA ni majira ya saa nane na dakika kumi usiku. Mitaani, kulikuwa na giza la kutisha. Hali ya hewa ilikuwa ya baridi sana katika jiji la Birmingham nchini Uingereza. Ni saa...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Simulizi:John ze Mwizi Na: Humph Isack Whatsapp: 0742817066 Sehemu ya Kwanza Koooooh!! koooh!! koooh!!" ilikuwa ni sauti ya babuyake john akikohoa kwa nguvu wakati amejilazakitandani,kikohozi...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : MAUNDU MWINGIZI CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA “Naitwa Hunudu, ni shefa mkuu katika Dini hii tukufu ya WAUFI, Dini hii inaongozwa na Wafalme wa...
4 Reactions
18 Replies
12K Views
SIMULIZI: EQUATORIAL FOREST (msitu wa Equatorial) MTUNZI: AISHA KHAN SEHEMU YA 01 UTANGULIZI: kwa Jina naitwa Najma Abdallah, Nina umri wa miaka 22 na soma university mwaka wa pili sasa, wazazi...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
WAHUSIKA, SEHEMU, MAJINA NA MATUKIO YALIYO KWENYE RIWAYA HII NI KAZI YA SANAA NA SIO HALISI. UFANANI WA AINA YOYOTE NA MAMBO HALISI NI NASIBU. ____________ 1 Kwenye Jumamosi tulivu; mawingu...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
"Fanya kama ulivyoambiwa" Alisema mtu yule,mrefu mweusi na mwenye mapana! Niligeuka nyuma na kumtazama mke wangu,alikaa pale.. kiti cha mbao,mikono nyuma,kamba miguuni,kamba tumboni na kitambaa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
SEHEMU YA 01: Nilichozoea kusikia ni kwamba kuna majini wanawake wanaojigeuza binadamu na kuwatongoza wanaume. Wengi wa majini hao hutaka kuishi na binadamu kama mke na mume, jambo ambalo...
2 Reactions
24 Replies
14K Views
Imeandikwa na Hamisi Kibari wa gazeti la HabariLeo “HUYU ndiye Edi Ganzel uliyekuwa ukimuuliza sana,” aliniambia Mzee Barnabas Maro, akinitambulisha kwa mmoja wa watunzi mahiri wa riwaya kuwahi...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom