LISHE: Marlaw ft Hussein Rapper

LISHE: Marlaw ft Hussein Rapper

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,626
Reaction score
6,778
Lyrics:

My Darling
Si uniambie
Una mawazo gani
Nielezee ni kwa nini
Kuwa na amani
Haya mambo yameanzia mbali
Yapo hapa tangu zamani
Kabla hatujazaliwa
We na mimi
Yapo ambayo umeshayafanya
Na tumeshawahi furahi sana
Na inatosha kujiamini

Naomba ufurahi ndo nlivyokuzoea
We huwa unafanya nsiboreke
Naomba lishe!
Naomba lishe! Eeeh x2
Na umaanishe!
Na umaanishe! Eeeh x2

Ungana nami tuilambe asali
Ukiwa kwenye mudi we ni hodari
Maneno mimi sina naomba lishe
Na pia najua we ndio mtaalamu
Moto hauzimi moto,
Maji huzima moto,
Nipe mi ya moto, utamu.
Uno sokosoko,
Nyonga mokomoko,
Nipe mi ya moto, utamu yeah!
Its okey x2

Naomba ufurahi ndo nlivyokuzoea
We huwa unafanya nsiboreke
Naomba lishe!
Naomba lishe! Eeeh x2
Na umaanishe!
Na umaanishe! Eeeh x2

(Hussein Rapper verse)
Nna chumba chako kikubwa ndani ya moyo (wangu)
Na chumbani sio pakubwa ukiwa pembeni (yangu)
Una weledi, tukiwa kwa bedi,
Ukisema you are ready nawasha high grade
Furaha, furaha wewe
Na mi nafurahi unapofurahi wewe
Nami shujaa, sababu wewe
Mama tule raha, naomba lishe
Moto hauzimi (moto)
Maji huzima (moto)
Nipe mi ya moto (utamu)
Uno (sokosoko)
Nyonga (mokomoko)
Nipe mi ya moto (utamu) yeah!

Its okey x2
And I believe in you

Naomba ufurahi ndo nlivyokuzoea
We huwa unafanya mi nisiboreke
Naomba lishe!
Naomba lishe! Eeeh x2
Na umaanishe!
Na umaanishe! Eeeh x2

Naomba ufurahi ndo nlivyokuzoea
We ndo q unafanya nsiboreke
Naomba lishe!
Naomba lishe! Eeeh x2
Na umaanishe!
Na umaanishe! Eeeh x2

Unaweza ku-download hapa chini
 

Attachments

Marlaw anajua kuimba kwa kubembeleza. Nice song. Yumo miongoni mwa best vocalists of all-time in Tanzania (maoni yangu).

Kama ameamua kurudi kweli, nashauri angetafuta visa vya kusimulia kwa kuimba (story telling) mfano wa Rita au kisa chochote kikali tu. Watu wanammissia hilo!

Sio lazima atunge yeye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom