Kila napoona biti ipo uchi naikonyeza,
mizuka ikpanda smetimes naibusu naichombeza,
sisubiri gesti hata chocho naibonyeza,
verse kali naulza ukivaaje unapendeza,
Ni vita ila kama hujui usiwake...
SIMULIZI YA MAISHA: USILIE NADIA.
MTUNZI: GEORGE IRON MOSENYA
SIMU: 0655 727325 na 0757727324
SEHEMU YA KWANZA
Mwendo wa kutoka nyumba ya kulala wageni tuliyolala usiku uliopita haukuwa mkubwa...
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni http://www.equatorstory.com/
Je umekuwa ukipata tabu kupost story...
Ni wimbo aliouachia akiwa na Tanasha Donna, ndani ya saa14 umefikisha view 1M
Huku na huku nilijua diamond ameenda kuangukia pua rakini ukweli ni kwamba kijana bado anakimbiza anazidi kuvunja...
Mwimbaji mshindi wa Grammy 4, Erykah Badu (48) ameachia bidhaa za manukato yenye harufu ya Uke wake na ndani ya dakika 19 tu yameweza kumalizika sokoni.
Manukato hayo yaitwayo "Badu's P**sy"...
Kiukwel kwenye filamu za kizungu sijaona mtu anayetisha Kama Scott Adkins kwenye mapigano.Huyu jamaa namkubali ile mbaya, ukitaka kumjua vizuri mwangalie kwenye avengement, incident man.Ninja...
Muziki una mchango mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi nchini Marekani, kwani umechangia kuingiza kiasi cha (USD 143 Billion) sawa na TZS. Trilioni 309.5 kwenye pato la taifa kwa mwaka 2019.
Pia...
Mimi sio mpenzi sana wa Singeli, maana najuaga tu ni makelele, hamna cha maana. Nawasiiliza sana Eminem, Pink, Sia, Jay Z na wengineo wakali kama Barnaba Classic!
Ila baada ya kusikiliza leo...
Sehemu ya 01
Mtunzi: Ally Katalambula
“We ni nani?” “Naitwa Jamila Mustapha” “Unapiga simu kutoka wapi shida yako ni nini?” “Nipo Temeke...bila shaka wewe ni Hussein Mwanda, mwandishi maarufu wa...
Kwa watazamaji filamu wenzangu, naona hii itakuwa ndiyo title ya kila thread ya movie review nitakayoianzisha kwa mwaka 2019.
Hatuna utaratibu wa kuchambua movies hapa nchini kama ilivyo huko...
Wimbo una Unigeria mwingi, Tuzo ataendelea kuzisikia kwa Radio na kuziona Insta kwa wasanii wengine, Jamaa alichobakisha cha kujivunia ni Views Youtube
Ngoma mbovu mitusi kama kawaida yake
Kama...
Wakati mwingine baada ya kazi na shughuli huwa tunaketi na kutumia simu zetu kwa kuchati, kusikiliza music na vingne.
Wakulu kwa nia ya dhati naomba msaada kujuzwa ni game lipi ni zuri kwa ajili...
Wakuu kwema? (Hope kwema)
Kuna hii song Inaimba background kwenye hii video clip, please mwenye kuijua naomba anisaidie jina la hiyo song or share hapa nasi wote tuipate.
Pia Iko swahili version...
Kitabu cha Ujajusi wa Kiuchumi na Kidola cha Yericko Nyerere hakiyahusu mataifa Tu . Hata watu binafsi, makampuni etc wanaweza kutumia mbinu hizo.
Moja Kati ya mbinu anazo zielezea Bwana Yericko...
Katika pitapita zangu nmekutana na kionjo cha one of the song in #afroeast album. Aisee a new big artist in Africa and the world is introduced tarehe 14 mwezi Wa 3. Kondeboy anaenda Ku trend kama...
Kama unafatilia hii tamthilia kwenye kisimbuzi cha Azam bila shaka kuna jambo umejifunza kuhusu roho mbaya ya mabeberu na ukisiakia watu wanatamani kutawaliwa upya au kupenda kauli ya Trump kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.