miami0101
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,336
- 1,276
Juzi kwenye tuzo za Malkia wa Nguvu alipanda kuperfom mwanamuziki Ruby, aisee nilikuwa nasikiaga kuwa Ruby ni balaa sana kuperfom live ndio nikaamini juzi.
Anasauti moja matata sana huwezi kuamini kama ni mtu anaimba live, kwa tanzania bado sijaona msanii wa bongoflava anaeweza kupiga live perfomance kama Ruby.
Ruby ana kipaji kikubwa sana kwasisi Watanzania tunamchukulia poa lakini angekuepo nchi za wenzetu angekuwa milionea, sisi Watanzania tunapenda nyimbo za matusi na kurukaruka tuu hatu-support muziki mzuri.
Naskia hata kwenye tuzo za Azam Sinema zetu alikiwasha sana.