mpima mstaafu
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 131
- 239
Waandaaji wa Tamthilia ya HUBA inayoonyeshwa DSTV, mmeanza kuunga unga na kuongeza watu wasio na umuhimu wowote mpaka mmeanza kutuudhi wafuatiliaji.
Kwa mfano suala la Uchawi wa kuwatoa kina Charle na daktari wa vichaa tija yake nini? Uchawi wa Bi Sikitu unachukua nafasi kubwa hata tija yake haijulikani.
Kama Tamthilia imefika mwisho tangazeni kuliko kuweka mwendelezo usioeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app