Video10 za mziki wa Afrika zilizoangaliwa sana kwenye Youtube (all time): Bongo Fleva hakuna

Burnaboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
1,070
1,437
10. Runtown – Mad Over You (Nigeria) 92M views.

9. P-Square – Personally (Nigeria) 92M views.

8. Tekno – Pana (Nigeria) 106M views.

7. Yemi Alade – Johnny (Nigeria) 107M views.

6. Davido – Fall (Nigeria) 141M views.

5. Die Antwoord – I Fink U Freeky (South Africa) 142M views.

4. Die Antwoord – Ugly Boy (South Africa) 149M views.

3. K'Naan - Wavin' Flag - Coca cola celebration mix (Somalia) 194M views.

2. Die Antwoord – Baby On Fire (South Africa) 227M views.

1. Magic System – Magic In The Air ( Ivory Coast) ft Chawki (Morocco) - 262M views.

Hii namba moja ndio ile ya World Cup 2014: Feel the magic in the air Allez, allez, allez ....

Bongo Fleva vipi?
 
UNATAKA TUWE NA VIEWS NYINGI KAMA WENZETU WAKATI MZIKI UNAENDESHWA KITIMU NA NI DHAMBI KUBWA KUANGALIA VIDEO YA TIMU PINZANI
 
UNATAKA TUWE NA VIEWS NYINGI KAMA WENZETU WAKATI MZIKI UNAENDESHWA KITIMU NA NI DHAMBI KUBWA KUANGALIA VIDEO YA TIMU PINZANI
Hapo sasa....tunajiona tuko juu ila bado....maana hapo ni naija na south !!!
 
Kwani mbona Uganda hamna au Kenya au Cameroon? Kuna nchi 54 Africa unataka zote ziwe top ten?
 
Kwani mbona Uganda hamna au Kenya au Cameroon? Kuna nchi 54 Africa unataka zote ziwe top ten?
Mkuu ni kupeana changamoto tu kwamba bongo fleva ijitahidi ifike top ten sababu jitihada zikiwekwa uwezekano huo upo...
 
K'Naan - Wavin' Flag - Coca cola , hii kwangu kwa nyimbo za kombe la dunia hii ni the best .
kuna baadhi ya machalii mtaani walikuwa wanaiongezea maudambwi dambwi kama hivi.

"Kwea pipa na masefuria,
"Na vijiko vya kupakulia
"kunywa pepsi ujue kusheki,
"kula kuku unyoe kiduku,

Mama mush'ka kaj.k*jelea
watoto wake wanamzomea

They made my day 🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣
Ilibamba sana!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom