Kwa nyimbo hizi, nachelea kusema Rayvanny ndiye King of Romantic Songs kwa sasa

Wu-Ma

Senior Member
Dec 1, 2017
113
277
Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini.

Huyu mwamba nimempigia saluti anaimba vitu real sana na very romantic kwa kweli. Unasikiliza hata kama una stress zinakuhama kidogo.

Kwa nyimbo hizi nimempigia saluti.

1. Mbeleko
2. I Love You
3. Naogopa
4. Ex Boyfriend

Ushauri wangu abane angle hiyo hiyo atajitengenezea icon moja kali sana, sio lazima afate nyayo za Mond.
 
Sijui nipoje, ila siku hizi naona kapotea.

Kwetu, Kiki,.. zilikua lit AF
Hapana hajapotea Ila wabongo wengi wamezoea nyimbo za kucheza na sio kusikiliza , Ray vanny ni fundi wa nyimbo za kusikiliza ,.....wengi wanaoimba nyimbo za kucheza hawana maneno ndo mana wanaishia kuweka maneno ya matusi
 
Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini.

Huyu mwamba nimempigia saluti anaimba vitu real sana na very romantic kwa kweli. Unasikiliza hata kama una stress zinakuhama kidogo.

Kwa nyimbo hizi nimempigia saluti.

1. Mbeleko
2. I Love You
3. Naogopa
4. Ex Boyfriend

Ushauri wangu abane angle hiyo hiyo atajitengenezea icon moja kali sana, sio lazima afate nyayo za Mond.
Rayvanny yupo vizuri Sana.
 
Mkuu huyo Dogo ndio maana anaBET, anaujua sana, asilewe sifa tu atembelee humo humu. Hiyo EP kafanya poa mnoo!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini.

Huyu mwamba nimempigia saluti anaimba vitu real sana na very romantic kwa kweli. Unasikiliza hata kama una stress zinakuhama kidogo.

Kwa nyimbo hizi nimempigia saluti.

1. Mbeleko
2. I Love You
3. Naogopa
4. Ex Boyfriend

Ushauri wangu abane angle hiyo hiyo atajitengenezea icon moja kali sana, sio lazima afate nyayo za Mond.
Kaisikilize "Uko salama by Barnaba classic"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom