KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,842
Wadau,
Tuache unafiki tufike mbinguni. Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mwanana, na nimefurahishwa na namna Harmonize alichokifanya. Full show was live, na jinsi alivyocheza na stage was stunning.
Vile ndo namna uzinduzi wa album unapaswa kuwa, siyo kuplay back CD na kutupigisha kelele. 90% of the ablum are going to be hit songs.
Hongera kwako Harmonize.