baada ya 'Scorpion' ya mwaka 2018
Wakati wa mchezo wa Toronto Raptors na Phoenix Suns jumapili ya jana Drizzy alidokeza kuwa album yake mpya haitokuwa na nyimbo nyingi kama iliyopita (scorpion)...
Album mpya ya Justin Bieber 'Changes' imeshika namba moja kwenye chart za Billboard 200 na kuvunja rekodi aliyoiweka mkongwe Elvis Presley miaka 59 iliyopita
Justin Bieber ameweka rekodi ya kuwa...
Shalom watu wa Mungu,
Binafsi nimejaribu kufatilia muziki wetu wa hapa Tanzania ila kiukweli nimegundua kwamba wapo wasani wanapenda muziki ila muziki hauwapendi.
Sasa basi tushauriane, wewe...
Team Wilder please njoeni hapa tuanze kushangilia ushindi mapema maana huyu dogo Tyson feki alichonga sana sasa leo mwisho wa maneno, mikono ndiyo itakayoamua nani ni zaidi ya mwenzake.
Nyani...
Husika na kichwa hapo juu.[emoji14]
Hapa kuna Khaligraph, huku kuna Nyashiski, kule kuna Sauti Sol, pembeni kuna Hart the band, nyuma kuna Sol generation, katikati yupo mnyama Octopizzo, kulia...
Habari ya asubuhi wakuu,natafuta nakala za albamu hizi,TELEVISHENI YA MAISHA na BARABARA YA 13 ULYANKULU,
Mwenye nazo tafadhari naomba tuwasiliane at any cost,naitaji audio tu.
Amani kwenu.
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa...
kazi na muziki. namcheki tu boss wangu alivyonuna mi nakula ngoma. na kazi zinaenda yan full kuipa faida kampuni.
anaoujua huu wimbo atuambie kisa chake maana si kwa utamu huu si uimbaji si midundo.
[Verse 1]
See the way you love me
See the way you care for me
You carry my matter for your head oh
All: Ine me Obi nasom
Like a little baby
You watch over me
You no deh carry me de play ooo
All...
Habari zenu wakuu naimani my wazima. Nilikuwa naomba mwenye link ya video ya nyimbo hiyo hapo juu, maana nimehangaika kuitafuta mitandaoni na YouTube zipo fupifupi na Mimi nilikuwa naitaka ile ya...
Habari zenu wakuu natumai mu wazima wa afya.
Ombi langu kama hapo juu ni kwamba nilikuwa naulizia mahali ninapoweza kupata duka liuzwalo vitabu vya fasihi za kiswahili hasa za kipindi hicho maana...
The eye-watering sum was distributed through the Douglas Foundation, which aims to “help those who cannot otherwise help themselves”
Kirk Douglas left his entire fortune to charity - with not a...
Hatimaye zimebaki siku chache tuweze kushuhudia mpambano wa marudiano kati ya Deontay Wilder (Bronze Bomber) na Tyson Furry (Gypsy King).
Katika pambano lao la kwanza lililofanyika mwaka 2018 Dec...
Ghetto, ghetto
Ghetto, ghetto livin'
These streets remind me of quicksand (quicksand)
When you're on it, you'll keep goin' down (goin' down)
And there's no one to hold on to
And there's no one to...
It Knows Me
I seek the water
I seek the trees
I seek the heavens
But I'm brought down my knees
Yeah I know anger
I know peace
Yeah I know darkness
And it knows me
It knows me
I felt the fire...
Mimi ni mwanamziki,Nimewaza sana mtu ambae naweza fanya nae collabo nikagundua huyu mwana mama Anaweza Kusimama vzr kwenye Chorus yangu ,
Tatizo nimejaribu kumtafuta kwa namna yoyote ile ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.