Dully Sykes most featured artist in Bongo Flavour

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,799
2,000
Salaam wana jukwaa. Moja kwa moja kwenye hoja.

Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kuwa Dully Sykes ndie msanii anaeongoza kwa kushirikishwa sana kwenye nyimbo za Bongo flavour.

Music gallery ya kwenye simu yangu ina nyimbo zaidi ya 900 mchanganyiko

Screenshot_20200221-201853.jpeg

Dully Sykes ameshikirishwa kwenye nyimbo kama 20
Screenshot_20200221-203202.jpeg

Je kuna msanii unayeamini kuwa ni zaidi ya Dully Sykes kwa kushirikishwa sana? Songesha!

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 

dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
8,056
2,000
nakubali sana vitu vya Oldies, gallery yangu ni hits za Bongo Records , na chache za Mika Mwamba

Duly alipiga featuring za hatari sana kitambo icho, wakali wengine ni Ferooz na J.Nature kwenye Chorus walikua wanatisha kama Kaswende vile
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,799
2,000
Kuna Nature na Q chief pia usimsahau Chidy benz.. Bado sijajua nan anaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote hawamfikii Dully Sykes.
Taja nyimbo kumi tu za kila mmoja wao hao walizoshirikishwa ili nikutajie nyimbo 20 alizoshirikishwa Dully Sykes.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,799
2,000
Blue anaweza kuwa namba moja maana anashirikishwa hadi na underground wa jana
Weka list ya nyimbo alizoshirikishwa Mr Blue

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
7,175
2,000
Chache ninazo zikumbuka mimi.
1.FQ ft Nature-Agosti 13
2.Prof Jay ft Nature-Zali la mentali
3.Dolo ft Nature-Radhia
4.OCG ft Nature-Akwelina
5.Squzeer ft Nature-Naja
6.Rich One ft Nature-Hatuna kitu.
7.Snare ft Nature-Bila sanaa
8.Mike T ft Nature-Nakupenda
9.Fresh P ft Nature-Tina
10.Misosi ft Nature -Pilato na game.
11.Man dojo na Domokaya ft Nature -Niaje
12.Kala Jeremiah ft Nature-Wale wale rmx
13.Momba ft Nature-Mdundiko
14.Zig Zaga crew ft Nature-Watu bwana.
15.Joint Mobb ft Nature-Jirani mtani.
16.Manduli Mobb ft Nature-Masikini jeuri
17.Mangair ft Nature,KR-Msela
18.P-Funk ft Nature-ndani ya club
19.Nonini ft Nature-Nani mwenza
20.Inspector Haroun ft Nature-Haina kuremba
21.Zay B ft Nature-Nipo gado.
22.Prof Jay ft Nature-Ndio mzee
23.Ferooz ft Nature ,prof jay-Starehe.
24.Mabaga ft Nature-Mtulize.
25.GWM ft Nature-Kamua

Achana za Wanaume family ,Wanaume halisi na Wachuja Nafaka.

So Duly Sykes kwa Nature ana subiri sana.
 

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
1,470
2,000
Hao wote hawamfikii Dully Sykes.
Taja nyimbo kumi tu za kila mmoja wao hao walizoshirikishwa ili nikutajie nyimbo 20 alizoshirikishwa Dully Syskes.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
My boo
Sitobadilika
Kazi ipo
Nakuwaza
Tabasamu
Amekoma
Bonge la toto
My boo remix
Go low
Mama mia
Asubuhi
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,799
2,000
Chache ninazo zikumbuka mimi.
1.FQ ft Nature-Agosti 13
2.Prof Jay ft Nature-Zali la mentali
3.Dolo ft Nature-Radhia
4.OCG ft Nature-Akwelina
5.Squzeer ft Nature-Naja
6.Rich One ft Nature-Hatuna kitu.
7.Snare ft Nature-Bila sanaa
8.Mike T ft Nature-Nakupenda
9.Fresh P ft Nature-Tina
10.Misosi ft Nature -Pilato na game.
11.Man dojo na Domokaya ft Nature -Niaje
12.Kala Jeremiah ft Nature-Wale wale rmx
13.Momba ft Nature-Mdundiko
14.Zig Zaga crew ft Nature-Watu bwana.
15.Joint Mobb ft Nature-Jirani mtani.
16.Manduli Mobb ft Nature-Masikini jeuri
17.Mangair ft Nature,KR-Msela
18.P-Funk ft Nature-ndani ya club
19.Nonini ft Nature-Nani mwenza
20.Inspector Haroun ft Nature-Haina kuremba
21.Zay B ft Nature-Nipo gado.
22.Prof Jay ft Nature-Ndio mzee
23.Ferooz ft Nature ,prof jay-Starehe.
24.Mabaga ft Nature-Mtulize.
25.GWM ft Nature-Kamua

Achana za Wanaume family ,Wanaume halisi na Wachuja Nafaka.

So Duly Sykes kwa Nature ana subiri sana.
Chief hapa umechanganya, nyingine hajashirikishwa bali alikuwa ndani ya kundi.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
7,175
2,000
Tuachane na hilo chif bado Dully Sykes hana mpinzani kwa kushirikishwa nyimbo nyingi, Kwa Tanzania hii hana mpinzani.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
Nyingi ngapi?,hapo sijajumuisha za Wanaume family,Wanaume halisi na Wachuja Nafaka.

Hapo nyingine nime zisahau.

Dully kwa Nature ana subiri.
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,799
2,000
Chief labda nikwambie tu achana na Dully Sykes, ameshirikishwa kuliko msanii yeyote Tanzania.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,799
2,000
Nyingi ngapi?,hapo sijajumuisha za Wanaume family,Wanaume halisi na Wachuja Nafaka.

Hapo nyingine nime zisahau.

Dully kwa Nature ana subiri.
Hivi chief unaweza kuniambia Dully ana albam ngapi?

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom