Inspector Haroun Style ya kurudia maneno kwenye lyrics

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,172
Habari wadau wa JF,

Huwa navutiwa sana na style aliyokuwa anatumia Inspector zamani ya kurudia neno moja kwa kutumia majina tofauti lakini yana maanisha kitu hiko hiko.

Baadhi ya nyimbo alizotumia style hiyo ni hizi hapa chini unaweza kuongezea na wewe utakazokumbuka:-

Heka Heka Za Ticha:-Hapo anaelezea fimbo kwa maneno tofauti

"Mara vikaanza viboko,bakora,stick,mijeredi,michalazo,Denti akikaza ticha ndio anaweka mkazo Weee"

Mtoto wa Geti Kai:-Hapo anaelezea Nyama

"Kwenye friji,friza vimimina vya kumwagili mpaka kusaza,makila kitu kwao stock,beef,cow kitimoto pork"

Wanaokwenda Jela:- Hapa anazungumzia Jela

"Chechela segedansi nondo gereza inside ndichi lupango kunapotekeza"
 
1) Nimekufia fia, nimekuzimikia kia, mtoto wa geti kali .
(MTOTO WA GETI KALI)

2) Kwao O'bey, Osterbay, Masaki, binti huyu mtanashati.
(MTOTO WA GETI KALI)

3) Sisi ndo Makatunist, Vikaragosi,
(RAP KATUNI)
 
Hahahah there you are!!!

Mtoto mweusi,bambadi,maji ya kunde kaenda hewani sekunde,natural color,chotara,mng'avu nga'avu!!!
 
Kajazia bambataa haja kubwa taarabu anayo ukicheck "Nyolo"/Nyoro" inakuita!!!
 
Back
Top Bottom