Huu ndio muonekano mpya wa mama mzazi wa super star diamond platnums, aiseeh ni shigidaaaa, hii inaitwa kupendeza kwa mwendo kasi, hapa hata ukimuweka mama chibu na zari bado zari ataonekana...
On the right hand side is Raymond and left one is Bongo Fleva Celebrity Diamond Platnumz earlier Today through his Instagram Account he has made big announcement concerning his hit song with...
Ugeni mwingine ambao Tanzania imekua ikitarajiwa kuwa nao toka juzi ya July 9 2016 ni ujio wa mwimbaji staa kutoka Marekani Usher Raymond ambaye anakuja Tanzania na moja kwa moja kwenda mbugani...
Aje washkaji zangu wa nguvu!?
Kuna jambo sijalipenda hata #Kidogo na sina budi niliweke wazi. wiki iliyopita Kampuni ya WCB iliingia kwenye headliness baada ya msanii wake Diamond platnumz kuzuia...
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East AFrica Radio, TID amesema Dully Sykes hakupenda kitendo cha Joh Makini kuwepo kwenye collabo yao ya wimbo wa confidence.
“Kwanza ile ngoma mwenyewe ndio...
Katika kuwahabarisha watu wake na mashabiki wake,Masanja Mkandamizaji ameandika hivi katika mtandao wake
MBWEMBWE ZOOOOOOTE ZIMEISHIA KWA BINTI HUYU WA KISUKUMA HAKIKA KAWAZIDI...
Kila siku tunasikia Jina la Zitto Kabwe kuwa ndiye mkombozi wa Tanzania. Wengine Wanasema Zitto Keshanunuliwa, hana kazi tena. Tunaomba Majina ya vijana kumi wenye uwezo wa kuliokoa Taifa ikiwa...
Kama umeingia instagram kuanzia jana utakuwa umeona kivumbi kinachotimka kwenye familia ya Diamond Platinumz.
Picha halisi ya kinachoendelea ilionekana kwenye birthday party ya mama yake...
Leo katika pitapita zangu nikakutana na Baruan Muhuza mtangazaji wa BBC. Kilichonishangaza ni kuwa huyu jamaa yuko simple sana hana makuu, tofauti na nlivyo kuwa nafikiria awali kwamba labda...
Kiukweli Diamond ataendelea kukumbukwa kwa kumfikisha Harmonize hapa alipo fika! Kwa hii nyimbo yake mpya inayo itwa Matatizo ni dhahiri kadhamilia katika mziki! Kama kuna mtu anaweza kuiweka hapa...
Habarini! Habari za weekend!
Leo ningependa kila mmoja wetu kwa nasi yake aweze kushare nasi ni Celebrity gani anakuvutia hapa Duniani! Kutoka katika tasnia yoyote ile! Kikubwa ni awe Celebrity...
1: Diamond plutnumz ft P square KIDOGO - Viewers 51900+
2: Harmonize MATATIZO
viewers 873000+
3: Imevuja Diamond na Zari wakifanya mapenzi chooni
4: Jionee party ya Wema Sepetu Idris Bella na...
Huyu jamaa anajua balaa lkn sijui kwanini tu?,ingekuwa bongo labda tungesema jamaa ana bifu na Ruge ,wadau wa rhythm and blues nina tatizo iko wapi kwa huyu jamaa?
Hata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe.
Dada yangu wewe kila weekend...
Niaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje.
Naamini hata nyie humu wengi mtaniunga mkono.
Msanii mkubwa kama Alikiba mambo...
Mchezaji huyo wa zamani wa Newcastle, Tottenham na timu ya taifa ya Uingereza juzi alipigwa picha na majirani zake akiwa kwenye hali ya kusikitisha wakati anachukua taxi kwenda kununua pombe na...
Nimefuatilia muziki wa hiphop toka unaingia bongo(kwa maana ya bongo hiphop)Media zimechangia kuuwa hiphop.wanasema hiphop ni controves kwa maana bila ya beef hakuna hiphop.Tukumbuke TMK vs East...
Hii imetokea kwenye ibada katika kanisa la miito ya Baraka Jangwani Dsm
Mchekeshaji, Muhubiri na Mshereheshaji Masanja Mkandamizaji amvisha pete mke wake mbele ya macho ya Mwakibolwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.