MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Huyu jamaa anajua balaa lkn sijui kwanini tu?,ingekuwa bongo labda tungesema jamaa ana bifu na Ruge ,wadau wa rhythm and blues nina tatizo iko wapi kwa huyu jamaa?
Yeye ndo alieianzisha ama??Mwimbaji mkali wa R & B ni R. Kelly tu.
Hao wengine hamna kitu.
Yeye ndo alieianzisha ama??
Jamaa kasema toka dunia ianze sio marekani tuHapana.
Yeye ndo mfalme wa R & B Marekani!
Put that woman first hii bonge ya nyimboJaheim na R.Kelly wote wanajua sana.. bt nafikili R.Kelly ndo anaeheshimiwa zaidi.
& kwa bongo sijaona kama Joslin
wapo wengi,kama vile joe Thomas, boyz men, blue, usher Raymond, mary j blige( rnb, soul, pop), hao blue ni hatari saana etcJaheim na R.Kelly wote wanajua sana.. bt nafikili R.Kelly ndo anaeheshimiwa zaidi.
& kwa bongo sijaona kama Joslin