Vijana Kumi wenye Uwezo wa Kuiokoa Tanzania

ChingaMzalendo

Senior Member
Nov 9, 2008
192
3
Kila siku tunasikia Jina la Zitto Kabwe kuwa ndiye mkombozi wa Tanzania. Wengine Wanasema Zitto Keshanunuliwa, hana kazi tena. Tunaomba Majina ya vijana kumi wenye uwezo wa kuliokoa Taifa ikiwa wanaweza kushirikiana. Najua Mwanakijiji atakuwemo, tunaomba majina kamili ya wale wanaofahamika, na ambao wameonyesha uwezo wa kuweza kudiriki na kuongoza taifa kutoka mikononi mwa mafisadi wanaoongozwa na kikwete

Napendekeza
1. John Mashaka
2. January Makamba
3. Hildebrand Shayo
4. Mwanakijiji
5. John Mnyika
7. Zitto Kabwe
8. Mohammed Dewji
9. Nelson Kaminyoge
10..........
 
Kila siku tunasikia Jina la Zitto Kabwe kuwa ndiye mkombozi wa Tanzania. Wengine Wanasema Zitto Keshanunuliwa, hana kazi tena. Tunaomba Majina ya vijana kumi wenye uwezo wa kuliokoa Taifa ikiwa wanaweza kushirikiana. Najua Mwanakijiji atakuwemo, tunaomba majina kamili ya wale wanaofahamika, na ambao wameonyesha uwezo wa kuweza kudiriki na kuongoza taifa kutoka mikononi mwa mafisadi wanaoongozwa na kikwete

Vipi mkuu, wamekutuma? Ni wa kuunda cabinet ya 2010 au?
Ni vijiswali tu.
 
Vipi mkuu, wamekutuma? Ni wa kuunda cabinet ya 2010 au?
Ni vijiswali tu.

Nyang'au mimi nitumwe? Bwana mimi nimechoka na Ufisadi na ningefurahi sana kuyasikia maoni ya vijana wetu kuhusu taifa la kesho. Kikwete na kundi lake wametuchosha na ufisadi.

Hata kama ni kujiburudisha, itabidi tujiburudishe, kwani siku moja tutaamka tuikute taifa letu limeporomoka, watanzania dhidi ya watanzania wanauana.

Tumechoka na ufisadi, na majina kama hayo yatatupa angalau wa kuwakimbilia muda ukifika, kwani ikibidi tutaingia porini ili kuliokoa Tanzania kutoka katika janga la ufisadi ,a nagiza totoro linalotuzunga wakuu

Dawa ya Mafisadi ni kuingiaporini, mie nipo tayari kusajiliwa ikiwa kuanzisha jeshi ndio dawa ya kumaliza matatizo yanayotukabili, au kulipuwa mabenki, nimchoka kusema kweli
 
................Dawa ya Mafisadi ni kuingiaporini, mie nipo tayari kusajiliwa ikiwa kuanzisha jeshi ndio dawa ya kumaliza matatizo yanayotukabili,..........

Nd. ChingaMzalendo,
Nami ni wapili katika usajili wa hilo jeshi. Nishajitolea muhanga kulala porini ili tupate kuyamaliza haya matatizo yanayotukabili.
 
Nd. ChingaMzalendo,
Nami ni wapili katika usajili wa hilo jeshi. Nishajitolea muhanga kulala porini ili tupate kuyamaliza haya matatizo yanayotukabili.

Wandugu ChingaMzalendo na Ngida1,
Mimi pia nipo tayari kujiunga na hilo jeshi na kila anaetaka kutuunga mkono basi aorodheshe jina lake hapa chini:

[1] Nd. ChingaMzalendo,
[2] Nd. Ngida Wa Ngida (Ngida1),
[3] Nd. Lampart,
[4] .............
[5] .............
.
.
.
.
.
.
Tukisha kutimia watu 10, basi tutahamia kwenye pori lolote lile la Bara au tutahamia Jozani kule Visiwani walipokuwa wakijificha wapiganaji wa Mapinduzi ya Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya 1964.

N.B.
Nd. Bluray, tafadhali usituite kuwa sisi ni wasaliti.
Sisi ni wagombozi!!!

Before u win a war, kila mgombozi ni msaliti.
 
mada yenu nzuri sana lakini mbona mnajitaja nyie hatuwafahamu hatufahamu uzalendo wenu ,ni yepi mmefanya na je mna uchungu na nchi hii or ?
 
mada yenu nzuri sana lakini mbona mnajitaja nyie hatuwafahamu hatufahamu uzalendo wenu ,ni yepi mmefanya na je mna uchungu na nchi hii or ?
vijana wenyewe hawa wa kizazi hiki, vijana hawa wanaoshinda disco badala ya maktaba, vijana hawa wa kizazi cha kupenda anasa na vya bure, sioni miongoni mwao wanaofikia kumi.
 
hahaha sasa tunahitaji awamu ya vijana

Vijana wamekwepo siku zote...ukumbuke tumekumbwa na janga la ukimwi na ufisadi mamboleo:D, vijana wengi sasa kila mtu na lwake-shifting towards the realm of individualism.

Vita vya kujipatia uhuru wazee wamefanya, vita vya uhuru wa uchumi ndio tunayo-vijana;) lakini tunafanya bila conciousness, tunafanya bila kuangalia vita nyingine ya jamii

Kuna mengi, huu ni mpito! Vigelegele basi! Tutafika
 
tatizo ni hilo nililo hi-light
 
hao vijana kumi mnataka lazima wawe watoto wa mafisadi au wale ambao baba zao walikaa mda mrefu kwenye system kwani hatuwezi kupata mtu kutoka poor family na asiwe famous na akatuongoza jamani????Mimi nadhani haya mambo ya kumtegemea zito kabwe,january makamba au nape wenyewe mabo wanayoyafanya mnayaona.Mimi yaani nawaza sana ni nani atakayeikomboa nchi hii?? kwa kweli its take even 100 years.Watz wengi tumekata tamaa mimi mwenyewe mmoja wapo,sasahv tunaangalia maisha yetu ukipata cha kuiba na wewe iba angalia maisha yako na familia yako kwa ujumla kupiga vita na kushinda ufisadi kwa tz mi naona ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kwa mawazo na fikra zangu.

Halaf hv mwanakijiji ni kijana au mzee??
 
wafuatao ni vijana ninao wajua wenye uwezo wakuiongoza Tanzania kwa mafanikio makubwa kisiasa na kiuchumi.
1...Nelson Kaminyoge....yuko Mambo ya Ndani
2...Shikunzi John, anajitegemea kikazi.
3...Samson Mwasakafyuka...huyu yuko Wizara ya Maliasili na Utalii
5...Lenjore Lekamoi.......yupo KPMG
6...Joshua Mtae...Mchumi huyu yupo Akiba Com. bsnk
7...Gwamaka Nsekela...yuko London
8...Bahati Tweve...yuko NCCR Mageuzi
9...Zito Kabwe ...CHADEMA
10..Mjasiriamali Shupavu...yumo humu JF
 
tatizo ni hilo nililo hi-light
NGUVUMALI WAPO VIJANA MAKINI NA WAADILIFU, ZILE NAFASI KUMI ANAZOPEWA RAIS WA JAMUHURI HAKUPASWA KUZITUMIA KUWAPA ZAWADI KINA KINGUNGE NA MAKAMBA, ANGETUMIA VIZURI BAADHI YA TAASISI ZAKE KWELI ANGEWAIBUA VIJANA MAKINI NA WAADILIFU AMBAO WANGELISAIDIA TAIFA KUSONGA MBELE, SASA YEYE KAWAPA VYEO KINA KINGUNGE NA YULE DADA MLEMAVU WA NGOZI, NZFASI ZIMEPOTEA BURE TU, no output.
 
wafuatao ni vijana ninao wajua wenye uwezo wakuiongoza Tanzania kwa mafanikio makubwa kisiasa na kiuchumi.
1...Nelson Kaminyoge....yuko Mambo ya Ndani
2...Shikunzi John, anajitegemea kikazi.
3...Samson Mwasakafyuka...huyu yuko Wizara ya Maliasili na Utalii
5...Lenjore Lekamoi.......yupo KPMG
6...Joshua Mtae...Mchumi huyu yupo Akiba Com. bsnk
7...Gwamaka Nsekela...yuko London
8...Bahati Tweve...yuko NCCR Mageuzi
9...Zito Kabwe ...CHADEMA
10..Mjasiriamali Shupavu...yumo humu JF

Hawo niliowapaka rangi hiyo kweli ni wapiganaji wakufa mtu na juzijuzi tu Kiongozi Shikunzi ametoka kufunga pingu za maisha
 
Hawo niliowapaka rangi hiyo kweli ni wapiganaji wakufa mtu na juzijuzi tu Kiongozi Shikunzi ametoka kufunga pingu za maisha
hizo habari mpya, sasa kama JK, NA system yake ingekua active ingewaibua hawa jamaa , kisha anawapa ubunge halafu uwaziri, nitashangaa kama Shikunzi John Msanganzila atakufa bila kuiongoza hii nnchi.
 
I don't know but to start with
1. Julius
2.Steve D
3. Game Theory
4.Maxence Melo
5.FMES
6.MTM
7.Indume Yene
8.Mwafrika wa Kike
9.First Lady
10.Pretty
 
wafuatao ni vijana ninao wajua wenye uwezo wakuiongoza Tanzania kwa mafanikio makubwa kisiasa na kiuchumi.
1...Nelson Kaminyoge....yuko Mambo ya Ndani
2...Shikunzi John, anajitegemea kikazi.
3...Samson Mwasakafyuka...huyu yuko Wizara ya Maliasili na Utalii
5...Lenjore Lekamoi.......yupo KPMG
6...Joshua Mtae...Mchumi huyu yupo Akiba Com. bsnk
7...Gwamaka Nsekela...yuko London
8...Bahati Tweve...yuko NCCR Mageuzi
9...Zito Kabwe ...CHADEMA
10..Mjasiriamali Shupavu...yumo humu JF
hivyo vichwa vitatu juu, vyenye blue, nahakika ni moja ya raslimali katika taifa hili....lakini Libaba PM si wewe yule Historian, haya bwana, kama ni wewe unakumbukumbu sana salam zao kibaha.
 
Back
Top Bottom