Aje ndo nini?
Wewe ndio unaangaika,hii ni habari ya wimbo wa DIAMOND we unaleta aje. Halafu kama unalazimisha kupambanisha tayari hiyo aje ishapigwa bao, REKODI YA VIEWERS 300,560 NDANI YA MASAA 19.Mbona mnahangaika sana jamani, acheni kizuri kijiuze tuone kama atafikia AJE.
Diamond ndio nani?View attachment 365978
Kazi kwetu wabongo tunaojifanya tunajua zaidi mziki
Na kweli wametumekomesha sisi tunaojifanya ni wachambuzi. Lkn Ngoma IPO safi kuanzia kucheza mpaka mavaziView attachment 365978
Kazi kwetu wabongo tunaojifanya tunajua zaidi mziki
Hii ngoma diamond mwenyewe alikuwa anaogopa kuitoa kwani hajaitendea haki ila ile misarakasi kama tangazo la Olympic imeipa mapokezi mazuri. ...
Nyimbo ya kupati unataka utunzi gani? Tena nyimbo inaenda kusikilizwa na watu wanaoongea lugha tofauti hivi unadhani watu wa togo , senegal, zambia, zimbabwa, malawi ,ethiopia wanajali utunzi bora wa kiswahili? Wao wanataka nyimbo wa dance melody nzuri basi.Much respect to Diamond kwa kutimiza ndoto yake najua kaweka kipande kirefu kwenye hii joint na kaweza kufanya kazi na Psquare nampongeza kwa hilo tu.
Nakuunga mkono kua yeye na Psquare wote wamevurugika sijaelewa walipanga kufanya nini katika hii joint dizaini karudia kosa la Make me sing too much efforts kwenye kichupa naona utunzi unapotea.
Mkuu tatizo letu wabongo sisi ni ma expert wa kila kitu,chochote utakachofanya tunakukosoa,hata ukikaa kimya tunakukosoa pia.Nyimbo ya kupati unataka utunzi gani? Tena nyimbo inaenda kusikilizwa na watu wanaoongea lugha tofauti hivi unadhani watu wa togo , senegal, zambia, zimbabwa, malawi ,ethiopia wanajali utunzi bora wa kiswahili? Wao wanataka nyimbo wa dance melody nzuri basi.
Hivi huwa unaelewa skelewi , shoki, gweta , ekotite, sity lossy,panda zikipigwa? Zina utunzi gani wa maana? Mbona zimehit africa nzima? Tusiwaanganye wasanii wetu bure ,soko la africa nyimbo za kudance ndo zinazofanya vizuri na kuzalisha pesa
Wewe ndio unaangaika,hii ni habari ya wimbo wa DIAMOND we unaleta aje. Halafu kama unalazimisha kupambanisha tayari hiyo aje ishapigwa bao, REKODI YA VIEWERS 300,560 NDANI YA MASAA 19.