Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Niaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje.
Naamini hata nyie humu wengi mtaniunga mkono.
Msanii mkubwa kama Alikiba mambo yake mengi anayofanya kwenye sosho media yanaonekana Duniani kote kwa sababu anamashabiki Dunia nzima. Tatizo linakuja katika Picha zake na Video anazoposti kwenye soshomedia hazina kiwango kama yeye alivyo na kiwango. Picha zake na video nyingi zinapigwa ama "Kushutiwa" kwa simu ya mkononi. Msanii kama Kiba anatakiwa awe na Mtu/watu maalum ambao watakuwa wanahusika na Picha na Video zake. Natumaini Soon Sony music wataliona hili na watalifanyia kazi. Kwasasa msanii wetu huyu yupo katika ramani ya dunia kwahiyo hana budi kufanya kazi zake "Kiprofeshno" Zaidi.
Nawasilisha kwa hisani ya #mckonjetv