warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Huu ndio muonekano mpya wa mama mzazi wa super star diamond platnums, aiseeh ni shigidaaaa, hii inaitwa kupendeza kwa mwendo kasi, hapa hata ukimuweka mama chibu na zari bado zari ataonekana mzee, ukimuweka na wema ndio kabisa wema ataonekana bibi wa miaka 60