ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Kiukweli Diamond ataendelea kukumbukwa kwa kumfikisha Harmonize hapa alipo fika! Kwa hii nyimbo yake mpya inayo itwa Matatizo ni dhahiri kadhamilia katika mziki! Kama kuna mtu anaweza kuiweka hapa aiweke ila ni nyimbo nzuri sana kwa soko letu la bongo! Ni vizuri kuimba vitu tofauti vinavyo mgusa kila mmoja wetu katika maisha yetu!
Naona pia kategua kitebdawili cha nani atakuwa wakwanza kushot video katika daraja la Mwalimu Nyerere
Hongera Harmonize
Naona pia kategua kitebdawili cha nani atakuwa wakwanza kushot video katika daraja la Mwalimu Nyerere
Hongera Harmonize