Uzuri uko machoni pa muangaliaji.Mbona ka bi kezee...!!!
BACK TANGANYIKA
Nani huyo?kohoa umbea huo tuusikie...Ukikaa nao kooni utapaliwa au kupata saratani ya koo!!Umbea raha yake uuteme,ni tiba kwa magonjwa nyemelezi ya kinywa na koohahaaaa fulani atakua kazimia wallah siyo kwa kujipendekeza kule.
Wanaangalia uzuri ndo maana divorce zinazidi...uzuri uko machoni mwa muoaji.na mtabaki single for the rest of your damn life.Uzuri uko machoni pa muangaliaji.
By the way, siku hizi watu huangalia personality ya mtu na sio physical appearance.
Hatuoi makalio na sura nzuri bali UTU & ADABU.
Huyo mtoto yuko poa sana mkuu labda macho yako tu, amemtoa Kahama.Mbona ka bi kezee...!!!
BACK TANGANYIKA
Wa kwako kwani si Masanja kampenda Na kumchagua miongoni mwa over 18+ wengi tu?Mbona ka bi kezee...!!!
BACK TANGANYIKA
mpendwa utatuweza binadamu, huyo dada ana ubaya gani? Yupo simple mno binti wa watu, hana complications afu yupo natural eti. Tatizo watu walitegemea sijui awe zile type za bongo movies lol, Masanja anajua kwa nini of all ladies aliokutana nao kwenye maisha yake kamchagua huyo.Uzuri uko machoni pa muangaliaji.
By the way, siku hizi watu huangalia personality ya mtu na sio physical appearance.
Hatuoi makalio na sura nzuri bali UTU & ADABU.