Dully Sykes acha ubaguzi

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,456
30,882
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East AFrica Radio, TID amesema Dully Sykes hakupenda kitendo cha Joh Makini kuwepo kwenye collabo yao ya wimbo wa confidence.

“Kwanza ile ngoma mwenyewe ndio alitaka kuwepo baada ya kuisikia, akasema mnyama hii ngoma kali naomba niweke sauti na mimi, nikamkubalia tukarekodi, lakini alivyokuja kusikia Joh Makini yupo akanipigia simu tena usiku, akaanza kunifokea, tena imagine ngoma yangu ananifokea..TID vp unaweka watoto wa Arusha? ndo unafanya nini?” , alisema TID,

TID aliendelea kwa kusema kuwa licha ya hilo baada ya kuandaa show ya ku-launch audio, alivyoona na Joh Makini anaperfom, akampigia Joh akimwambia asikubali kufanya show bila kumlipa.

“Baada ya hapo akampigia Joh akamwambia Joh ile show kubwa usikubali kuperfom bila kukupa milioni tatu, baadaye Joh akaniambia kwamba bila mkwanja haparfom, nikamuuliza we habari hizo umezitoa wapi? akaniambia ni Dully kanambia, nikamwambia ungejua huyo Dully alimind kusikia we upo kwenye ngoma! bahati nzuri siku Dully ananipigia kina nNicotrak walisikia”, alisema TID.

TID aliendelea kusema kuwa Dully ana mambo ya kitoto hivyo anahitaji kuacha ushindani usiokuwa na faida, na kushindana kikazi.
 
TID mbona malalamiko hayaishi, na je sober house Bagamoyo utaenda lini

Sio TID peke yake bali wengi wa hawa wanamuziki wa bongo flava wanabwia unga akiwemo hata huyo Dully; mimi nimewahi kumuona akinunua hayo madawa kichochoroni huko Mikocheni akiwa na vitz yenye tinted!!!
 
TID apumzike tu... Anajiangaisha bure.
Uzee ushafika na mpaka hivi sasa anapigania kutoboa, lazima awe hivyo alivyo. Akiangalia kila akitoa ngoma inafunikwa na vijana na hapati show nyingi.
 
TID zilipendwa na huyo Dullly pia. Wapumzike tu na kuwaachia vijana wafanye yao. Wao vijana wazamani wabaki kuwa washauri tu. Kuna vitu huwa haviepukiki maishani navyo ni uzee na kifo. Washazeeka sasa wasubiri mauti tu.
 
TID mbona malalamiko hayaishi, na je sober house Bagamoyo utaenda lini?

TID mnyama siku hizi kawa km jerry muro

TID tulikupenda zaman
Ungepumzka tu

Tid Malalamiko kibao kama mtoto wa kambo!

TID apumzike tu... Anajiangaisha bure.

Kukabidhi kijiti si suala dogo

Uzee ushafika na mpaka hivi sasa anapigania kutoboa, lazima awe hivyo alivyo. Akiangalia kila akitoa ngoma inafunikwa na vijana na hapati show nyingi.
Ulimwengu unpoamua kukupa kisogo....!!!
129a4cf239bcc06ab663c3cc31b50217.jpg
 
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East AFrica Radio, TID amesema Dully Sykes hakupenda kitendo cha Joh Makini kuwepo kwenye collabo yao ya wimbo wa confidence.

“Kwanza ile ngoma mwenyewe ndio alitaka kuwepo baada ya kuisikia, akasema mnyama hii ngoma kali naomba niweke sauti na mimi, nikamkubalia tukarekodi, lakini alivyokuja kusikia Joh Makini yupo akanipigia simu tena usiku, akaanza kunifokea, tena imagine ngoma yangu ananifokea..TID vp unaweka watoto wa Arusha? ndo unafanya nini?” , alisema TID,

TID aliendelea kwa kusema kuwa licha ya hilo baada ya kuandaa show ya ku-launch audio, alivyoona na Joh Makini anaperfom, akampigia Joh akimwambia asikubali kufanya show bila kumlipa.

“Baada ya hapo akampigia Joh akamwambia Joh ile show kubwa usikubali kuperfom bila kukupa milioni tatu, baadaye Joh akaniambia kwamba bila mkwanja haparfom, nikamuuliza we habari hizo umezitoa wapi? akaniambia ni Dully kanambia, nikamwambia ungejua huyo Dully alimind kusikia we upo kwenye ngoma! bahati nzuri siku Dully ananipigia kina nNicotrak walisikia”, alisema TID.

TID aliendelea kusema kuwa Dully ana mambo ya kitoto hivyo anahitaji kuacha ushindani usiokuwa na faida, na kushindana kikazi.
JoH- aah bwana mnyàma mi bila milion 3 sipafom aarif
TID- we habar hizo umeztoa wapi?
JOH-ni dully kanambia

Aaah hizi kiki zingine maandaz kweli
 
Nasikia Dully na Joh wana beef mpaka kufikia hatua ya Dully kuchomoa kutokea kwenye video ya T.I.D aliyomshirikisha Joh na Dully tatizo ni nini.......
 
Dully Simpendi mshkaji ana mambo ya kimama sana na maringo kibao yaan anataka wasanii wote wamnyenyekee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom